Mbunge wa Imenti Kaskazini Rahim Dawood Dawood amtaka Rais Ruto kupambana na ufisadi wa mahakama

  • | TV 47
    4 views

    Mbunge wa Imenti Kaskazini Rahim Dawood ameiomba idara ya mahakama kuharakisha katika utoaji wa uamuzi kuhusu masuala yanayofungamana na maslahi ya umma ili kuhakikisha serikali inafahamu njia ya kufuata katika utekelezaji wake kwa wananchi.

    #TV47Matukio

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __