Mbunge wa Juja akanusha madai ya kujiteka nyara

  • | KBC Video
    26 views

    Mbunge wa Juja,George Koimburi amekanusha mashtaka ya kupanga njama ya utekaji nyara wake. Hii ni baada ya ofisi ya mkurugenzi wa mshataka ya umma kuarifu mahakama kwamba mbunge huyo alichukua hatua hiyo ili kuepuka kukamatwa na kufikishwa kwenye mahakama ya Kiambu kuhusiana na kesi ya ulaghai wa ardhi.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive