Mbunge wa Kajiado Kaskasini Onesmus Ngogoyo ameikosoa serikali kuu

  • | Citizen TV
    666 views

    Mbunge wa Kajiado Kaskasini Onesmus Ngogoyo ameikosoa serikali kuu kwa kile anasema ilitoa ahadi ambazo licha ya Rais kutangaza kuwa zitatimizwa chini ya mwaka mmoja hadi sasa bado miradi hiyo haijakamilika huku mingine ikiwa hazijaanza