Mbunge wa Kajiado Kusini ataka bajeti ya elimu iongezwe

  • | Citizen TV
    45 views

    Mbunge wa Kajiado kusini Sakimba Parashina amewataka wenzake katika bunge la Kitaifa kutenga fedha zaidi kwenye bajeti ya ziada ijayo ili kusaidia wizara ya elimu kutosheleza mahitaji ya kufadhili elimu ya bure