Mbunge wa Kamukunji Yusuf Hassana asambaza shilingi milioni 61.7 za basari kutoka kwa hazina ya CDF

  • | Citizen TV
    629 views

    Ni afueni kw awanafunzi 9,000 kutoka familia maskini eneo la kamukunji baada ya mbunge wa eneo hilo Yusuf Hassan kusambaza shilingi milioni 61.7 za basari kutoka kwa hazina ya ustawi wa maeneo bunge, NG-CDF.