Mbunge wa Kuria Mashariki ampongeza Mbadi kwa kufichua mapungufu

  • | Citizen TV
    197 views

    Mbunge wa Kuria Mashariki Kitayama Maisori ameomba wabunge wenzake wakiongozwa na wabunge katika kamati ya Elimu kuzingatia kuwekeza pesa zaidi katika sekta ya Elimu