Mbunge wa Likuyani anataka sheria ya ushuru kwa wakulima kusitishwa.

  • | West TV
    37 views
    Hatua ya serikali kuanza kuwatoza wakulima ushuru kupitia njia ya kidigitali imeendelea kupokea pingamizi huku mbunge wa Likuyani Innocent Mugabe akitaka kusitishwa utekelezwaji wa sheria hiyo.