Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji afikishwa mahakamani kwa madai ya uchochezi

  • | Citizen TV
    4,403 views

    Mbunge wa Manyatta Gitonga Mukunji amefikishwa mahakamani kwa madai ya uchochezi wa kusababisha vurugu wakati wa maandamano ya saba saba. Mbunge huyo alifikishwa katika mahakama ya kahawa ambapo upande wa mashataka umemhusisha na vitendo vya kigaidi. Aidha washukiwa wengine waliokamatwa kwa kusababisha vurugu kwenye maandamano ya tarehe 25 juni, wakiwemo viongozi wawili wa chama cha DCP pia walifikishwa katika mahakama hiyo...