Mbunge wa Mumias mashariki Peter Salasya ashtumiwa kwa vitisho wake

  • | K24 Video
    75 views

    Tume ya huduma za idara ya mahakama imeanzisha uchunguzi dhidi ya mbunge wa Mumias mashariki Peter Salasya kwa madai ya kumtishia hakimu wa Kakamega aliyeagiza salasya alipe deni la shilingi laki tano kwa mfanyabiashara mmoja. Hata hivyo mbunge huyo wa muhula wa kwanza ametupilia madai hayo akitaka tume hiyo kumuomba msamaha na kusita kutumika kisiasa na a kumchafulia jina. Salasya amekubali kulipa deni hilo kama ilivyoamuru ma