- 181 viewsDuration: 1:11Katika kaunti ya Nakuru Mbunge wa eneo Bunge la Njoro Charity Kathambi, awataka wakenya haswa wanandoa kutafuta njia mbaadala za kutatua matatizo Yao ya kifamilia wanapokuwa na tofauti zao badala ya vita ambavyo Kwa mara nyingi huchangia vifo.