Mbunge wa Sirisia anawataka wahudumu wa afya kusitisha mgomo wao.

  • | West TV
    18 views
    Mbunge wa Sirisia John Waluke amewataka madktari kusitisha mgomo wao na kurejea kazini akisema wananchi wanaumia kwa kukosa huduma kutokana na mgomo wa wahudumu hao.