Mbunge wa Sirisia John Waluke awachiliwa kwa dhamana ya Milioni 10

  • | West TV
    41 views
    Hatimaye Mbunge wa Sirisia John Koyi Waluke ameachiliwa kutoka gerezani baada ya mahakama ya rufaa kumwachilia kwa dhamana ya shilingi milioni 10 pesa taslimu ili awe huru huku akisubiri kuskizwa kwa kesi yake ya kupinga kifungo cha miaka 67 katika mahakama hiyo.