26 Aug 2025 10:23 am | Citizen TV 210 views Duration: 1:22 Mbunge wa Turkana kaskazini Shariff Ekuwom Nabuin amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama cha ODM kwenye Kaunti ya Turkana katika chaguzi za mashinani za chama hicho kilichofanyika Lodwar