26 Aug 2025 1:49 pm | Citizen TV 481 views Duration: 1:18 Mbunge wa Turkana Kaskazini Shariff Ekuwom Nabuin amechaguliwa kuwa mwenyekiti wa chama cha ODM kwenye kaunti ya Turkana katika chaguzi za mashinani za chama hicho kilichofanyika Lodwar.