Mbunge wa zamani Alfred Keter akamatwa kwa kutekwa nyara

  • | Citizen TV
    12,341 views

    Mbunge wa zamani wa Nandi hills Alfred Keter alikamatwa mapema leo kwa kutekwa nyara na watu wanaoaminika kuwa maafisa wa usalama katika mtaa wa kileleshwa hapa Nairobi. Keter aliyekuwa akitoka kanisani na familia yake alisimamishwa na watu waliojifunika uso na kumtoa ndani ya gari lake. Keter ameonekana kuwa mkosoaji mkuu wa serikali, Kama Gatete Njoroge anavyoarifu