Mbunge Waluke aachiliwa kwa dhamana

  • | KBC Video
    17 views

    Mbunge wa Sirisia John Waluke ameachiliwa kwa dhamana ya shillingi millioni 10 pesa taslimu akisubiri kusikizwa na kuamuliwa kwa rufani yake dhidi ya kifungo cha miaka 67 gerezani alichohukumiwa na mahakama ya kushughulikia kesi za ufisadi. Majaji Asike Mahandia, Grace Angenye na Sankale ole Kantai walisema mbunge huyo pia anaweza kulipa dhamana ya shillingi millioni 20.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #KBCchannel1 #darubiniwikendi #johnwaluke