Mbunge Wanyonyi ahimiza rais Ruto kutii maamuzi ya mahakama kuhusu mpango wa nyumba za bei nafuu

  • | KBC Video
    12 views

    Mbunge wa Westland, Tim Wanyonyi anahimiza rais William Ruto kutii maamuzi ya mahakama kuhusu mpango wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu. Aidha Wanyonyi amlitaka rais kutilia maanani maslahi ya Wakenya kuhusiana na mpango akisema Wakenya wanakabiliwa na hali ngumu ya maisha. Akihutubu kwenye chuo cha mafunzo anuwai cha Kangemi, Wanyonyi alisema rais anapasa kutimiza ahadi aliyotoa wakati wa kampeni ya kupunguza gharama ya maisha. Mpango wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu umekumbwa na kizingiti baada ya mahakama kusitisha matozo ya ada ya kufadhili ujenzi wa nyumba hizo.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive