Mbwembwe za CHAN

  • | Citizen TV
    2,580 views

    Michuano ya kombe la CHAN imewaleta wakenya na familia pamoja huku wakenya wengi haswa familia zinazoenzi kandanda wakijumuika sio tu kwenye uwanja wa Kasarani bali pia katika vituo vilivyotengewa mashabiki ambao hawakuweza kufika uwanjani