Mbwembwe za Mashujaa Kwale

  • | Citizen TV
    1,042 views

    Wakaazi wa Kwale walipata fursa ya kipekee kuwa mwenyeji na kushuhudia sherehe za mwaka huu za mashujaa. Sherehe hizi zilizoandaliwa kwenye uwanja wa kisasa wa Kwale, zilisheheni furaha za wakaazi na waliohudhuria na kutumbuizwa kwa ngoma za kisasa na za kitamaduni.