MCA wa Karen David Mberia amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani

  • | KBC Video
    Mwakilishi wa wadi ya Karen David Mberia amehukumiwa kifungo cha miaka mitatu gerezani au kulipa faini ya shilingi laki saba baada ya kupatikana na hatia ya kupokea honga ya shilingi milioni 1.7 ili kutatua mzozo wa ardhi. Mberia sasa amezuiwa kushikilia wadhifa wa umma Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive