MCAs Kericho kujadili kumng’oa Gavana Mutai licha ya amri ya mahakama

  • | NTV Video
    108 views

    Macho yote yanaelekezwa kwenye Bunge la Kaunti ya Kericho leo, ambapo kikao cha dharura kimeitsihwa kujadili hoja ya kumuondoa madarakani Gavana Dkt. Erick Mutai, licha ya agizo la mahakama kuu la kutoa amri ya muda ya kuzuia mchakato huo.

    Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.

    Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya