MCAs wapigana Makonde ndani ya bunge ya kaunti Nakuru

  • | Citizen TV
    943 views

    Wawakilishi wadi wa Nakuru wamepigana makonde hii leo wakati wa kuwasilishwa hoja ya kumng'atua mamlakani katibu wa bunge la kaunti hiyo.