MCAs wapitisha hoja ya kumng'atua Sonko mamlakani

  • | K24 Video
    Bunge la kaunti ya Nairobi limepitisha hoja ya kumng'atua madarakani gavana wa Nairobi Mike Mbuvi Sonko Katika shughuli hiyo, wawakilishi wadi 88 walokuwemo bungeni kati ya 122 wamaipitisha hoja hiyo huku ishirini wakidinda kupiga kura. Spika Benson Mutura ameongoza kikao hicho kilichohitaji kura 82.