Mchakato wa kuwavutia wawekezaji wa KTB

  • | Citizen TV
    38 views

    Bodi ya utalii nchini (KTB) imeanza mchakato wa kuvutia waekezaji wa kimataifa katika sekta ya utalii kuekeza kwa miundo mbinu ya kisasa ya mikahawa na hoteli za kifahari katika eneo la Pwani ili kuongeza idadi ya watalii wanaozuru eneo hilo