Mchakato wa marekebisho ya katiba utaashiria kuongezwa kwa muda za kupinga matokeo ya urais

  • | KBC Video
    Mchakato wa marekebisho ya katiba utaashiria kuongezwa kwa muda ambao mahakama ya upeo itasikiliza na kuamua rufaa za kupinga matokeo ya urais kutoka siku kumi na nne hadi siku thelathini. Kwenye makala ya leo, ripota wetu Kevin Wachira anaangazia kipengele cha 27 cha mswada wa marekebisho ya katiba wa mwaka-2020 kinachopendekeza marekebisho ya kifungu cha 140 cha katiba. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive