- 75 viewsMchezaji wa safu ya ulinzi wa timu ya Paris Saint-Germain Achraf Hakimi nchini Ufaransa amefunguliwa mashtaka ya tuhuma za ubakaji kwa mujibu wa mwendesha mashtaka. Uchunguzi wa awali ulifunguliwa dhidi ya mchezaji huyo wiki iliyopita baada ya mwanamke mwenye umri wa miaka 23 kwenda polisi kwa shauri la ubakaji. Endelea kusikiliza hatma ya mashtaka hayo... #mchezaji #safuyaulinzi #timu #ufaransa #mashtaka #ubakaji #mwendesha mashtaka #polisi #voa #voaswahili #dunianileo - - - - - #VOASwahili Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Mchezaji wa timu ya Ufaransa afunguliwa mashtaka ya ubakaji
- - Duniani Leo ››
- - Duniani Leo ››
- - 🔴LIVE | TV47 MATUKIO ››
- 30 Apr 2025 - Ugandan President Yoweri Museveni said on Tuesday that he had a "productive meeting" with the representatives of tech billionaire Elon Musk's Starlink, which is looking to establish a presence in the East African country.
- 30 Apr 2025 - A group of philanthropies including the Gates Foundation has set up a fund backed with nearly Ksh.64.7 billion to help save the lives of newborn babies and mothers in sub-Saharan Africa, standing out against a bleak global health funding landscape.
- 30 Apr 2025 - The government is yet to secure land to resettle and compensate those who lost their homes and livelihoods.
- 30 Apr 2025 - Around 600 North Korean soldiers fighting for Russia against Ukraine have been killed and thousands more wounded, a Seoul lawmaker said Wednesday, after Pyongyang officially confirmed deploying troops to aid Moscow. “So far, North Korean troop…
- 30 Apr 2025 - Education CS Julius Ogamba explains exemption of KMTC students from benefiting the fund.
- 30 Apr 2025 - Government-backed programme for employment abroad implodes in controversy.
- 30 Apr 2025 - How KRA loses billions to falsified mitumba invoices
- 30 Apr 2025 - Justice on hold: IPOA slammed for laxity in Gen Z protest probes
- 30 Apr 2025 - Council to crack down on foreign doctors working in Kenya illegally
- 30 Apr 2025 - Judge testifies in bribery bid case involving former student leader