Mchezo wa mapigano wa Dambe utazamwa na mamilioni mtandaoni.

  • | BBC Swahili
    486 views
    Hii ni Dambe - Mchezo wa kale wa mapigano huko Nigeria unaoshamiri kwa kizazi kipya Sasa mchezo huo una sheria mpya na umepata uidhinishaji wa kifalme katika Mashindano ya kwanza ya Dambe yaliyopewa jina la Emir wa Kano, jimbo kubwa zaidi la Nigeria. Katika taarifa hii tunaangazia historia ya mchezaji chipukizi wa dambe aliyeshiriki pmbano la fainali ya Mashindano ya Emir. #BBCSwahili #nigeria #hausa Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw