Skip to main content
Skip to main content

Mchina ashtakiwa kwa kujaribu kusafirisha siafu hadi China

  • | Citizen TV
    15,946 views
    Duration: 2:50
    Raia mmoja wa Uchina amefikishwa mahakamani baada ya kukamatwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta akijaribu kusafirisha siafu wakubwa kutoka Kenya kwenda Uchina. Wapelelezi wa shirika la huduma kwa wanyamapori wa KWS wanadai kuwa mshukiwa ni kiongozi mkuu wa mtandao wa kimataifa wa usafirishaji haramu wa wanyamapori.