Mchuanol wa CHAN utaanza rasmi Jumamosi ijayo

  • | Citizen TV
    1,148 views

    Timu ya taifa ya jamhuri ya demokrasia ya Congo imekuwa ya pili kuwasili nchini kwa mchuano wa CHAN utakaoanza Jumamosi hii nchini Kenya, Uganda na Tanzania.