Mchunga ng'ombe akimfukuzia ng'ombe aliyetoroka

  • | BBC Swahili
    1,358 views
    Tazama mchunga ng’ombe huyu alivyomfukuzia ngombe aliyetoroka katika barabara kuu yenye shughuli nyingi huko Michigan, nchini Marekani. Polisi wa Michigan walikuwa wakisubiri mchunga ng'ombe huyo kumkamata ambaye baadaye alifanikiwa. Mnyama huyo yuko salama na hakuna mashtaka ya uhalifu yaliyotolewa. #bbcswahili #michgan #mifugo