Mchuuzi aliyepigwa risasi na polisi azikwa kwao Murang’a

  • | KBC Video
    159 views

    Boniface Kariuki, mchuuzi wa barakoa mwenye umri wa miaka 22 aliyepigwa risasi kichwani na polisi katika eneo la katikati mwa jiji la Nairobi mnamo tarehe 17 mwezi uliopita amezikwa leo, katika eneo Kangema, kaunti ya Murang’a. Kariuki alipigwa risasi kwa ukaribu na kupelekwa kwenye hospitali ya kitaifa ya Kenyatta, ambako alifanyiwa upasuaji na kuwekwa katika chumba cha wagonjwa mahututi kwa muda wa wiki mbili kabla ya kutangazwa kuwa amefariki.

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive