MCK kuendelea kuwanufaisha wanahabari kwa ruzuku

  • | Citizen TV
    103 views

    Baraza la vyombo vya habari nchini (MCK) limesema litaendelea kutoa ruzuku kwa wanahabari ili kuwawezesha kufutailia taarifa maalum na zenye umuhumi kwa wananchi kando na kuwezesha vikundi mbalimbali vya wanahabari katika maeneo ya nyanjani.