Mdahalo uliloleta utata wa wagombea urais kupitia chama cha Republican Marekani

  • | VOA Swahili
    210 views
    - - - - - #VOASwahili Wagombea watarajiwa wa Republican ambao wanawania uteuzi wakugombea urais wa Marekani walilumbana kwa saa mbili katika mdahalo wao wa pili Jumatano usiku. Huku uchaguzi wa kwanza wa awali ukiwa chini ya miezi minne kufanyika, washiriki wote wako nyuma ya rais wa zamani Donald Trump katika ukusanyaji maoni lakini wana matumaini ya kuwapata wapiga kura.