Mdhibiti wa bajeti Margaret Nyakang’o ameachiliwa kwa dhamama ya shilingi laki tano

  • | K24 Video
    91 views

    Mdhibiti wa bajeti serikalini Margaret Nyakang’o ameachiliwa kwa dhamama ya shilingi laki tano taslimu. nyakang’o alikamatwa akiwa katika kaunti ya Mombasa na kufunguliwa mashtaka manne ikiwemo njama ya kulaghai na kughushi stakabadhi. Kukamatwa kwake nyakang'o kumezua tumbojoto miongoni mwa wakenya wakiwemo wanasiasa kutoka mrengo wa azimio wakiongozwa na kinara Raila Odinga ambao wanadai kuna njama ya kumng'atua kufuatia ufichuzi kuhusu ufisadi serikalini.