Mechi kati ya Shabana FC na MCF ya Machakos yaahirishwa baada ya uwanja wa Gusii kulowa maji

  • | Citizen TV
    581 views

    Mechi ya ligi ya daraja la pili kati ya viongozi Shabana FC na MCF ya Machakos imeahirishwa alasiri baada ya uwanja wa Gusii kulowa maji.