Mechi nne za ligi ya voliboli zachezwa uwanjani Kasarani

  • | Citizen TV
    193 views

    Mechi za mchujo ligi kuu ya voliboli zimeingia siku ya pili na mechi nne muhimu, mbili za wanaume na mbili za wanawake. Timu ya Bandari imeshangaza mabingwa watetezi gsu na kichapo cha seti 3-0 katika mechi ya kusisimua ya wanaume.