- 548 viewsMeli ya mafuta ambayo ilikuwa ikiungua kwa wiki kadhaa katika Bahari ya Sham baada ya kushambuliwa na waasi wa Wahouthi wa Yemen, na kutishia kumwagika kwa mafuta imeokolewa, kampuni ya ulinzi imesema Ijumaa. Meli hiyo Sounion ilikuwa ni maafa yanayo subiriwa kwa katika mkondo huo wa maji, huku ikiwa na mapipa milioni 1 ya mafuta ghafi ambayo ilishambuliwa na baadaye kuharibiwa kwa vilipuzi vilivyotumiwa na Wahouthi wanaoungwa mkono na Iran ikiwa ni sehemu ya kampeni yao juu ya vita vya Israel na Hamas huko Ukanda wa Gaza. Ilichukua miezi kadhaa kwa waokoaji kuweza kuivuta meli hiyo, kuzima mioto na kushusha mafuta ghafi yaliyobaki.. “Mapema Oktoba, meli hiyo ilivutwa hadi upande wa kaskazini wa mfereji wa Suez ili kupakua mizigo, ambapo hivi sasa zoezi hilo limekamilika.” Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani ilionya kuwa kuvuja kwa mafuta kutoka katika meli hiyo ya Sounion kungeweza kuwa “mara nne kwa ukubwa wa maafa ya Exxon Valdez” yaliyotokea mwaka 1989 nje ya pwani ya Alaska. Hakuna maelezo yoyote ya mara moja kutoka kwa Wahouthi, ambao wamekuwa wakiushikilia mji mkuu wa Yemen, Sanaa, kwa zaidi ya muongo mmoja na wamekuwa wakipigana na ushirika wa unaongozwa na Saudi Arabia ambao unaiunga mkono serikali iliyo uhamishoni kwa muda mrefu. - AP #wahouthi #meli #mafuta #bahariyasham #yemen
Meli iliyobeba mapipa milioni 1 yaokolewa baada ya kushambuliwa na Wahouthi
- 6 Jul 2025 - Japan's government on Saturday warned of more possible strong earthquakes in waters southwest of its main islands, but urged the public not to believe unfounded manga comic-book predictions of a major disaster.
- 6 Jul 2025 - Traders affected by the recent demonstrations held in honour of victims of last year’s anti-Finance Bill protests are now struggling to rebuild their lives and livelihoods.
- 6 Jul 2025 - Deputy President Kithure Kindiki and other leaders backing the broad-based government have intensified attacks on the opposition, calling for unity to heal the nation.
- 6 Jul 2025 - The High Commission of Rwanda in Kenya has marked 31 years of liberation — a commemoration of the country’s remarkable transformation, from a painful past under an oppressive regime to a future defined by unity, progress, and resilience.
- 6 Jul 2025 - Parliament's CDF coup: The Senate should halt this constitutional heist
- 6 Jul 2025 - Opposition leaders slam Ruto over state house church plans
- 6 Jul 2025 - Saba Saba's long harvest and why struggle is never wasted
- 6 Jul 2025 - Joho leads Coast MPs in Ruto campaign
- 6 Jul 2025 - Mr President you risk bringing idolatry in church, State House
- 6 Jul 2025 - Kenya today: An angry nation sliding towards self-destruction