Meli kubwa kutia nanga katika bandari ya Lamu

  • | Citizen TV
    2,434 views

    Meli kubwa zenye uwezo wa kubeba kontena elfu 20 za mizigo kutoka bara Asia na mataifa mengine zitaweza kutia nanga katika bandari ya Lamu na kupakua kontena ambazo zitapakiwa kwenye meli ndogo ili kusafirishwa hadi bandari zingine.Hii ni baada ya bandari ya Lamu kupokea mashini mpya tatu za kisasa za kupakia na kupakua makasha.