Meli yatia nanga bustanini

  • | BBC Swahili
    6,631 views
    Mwanaume mmoja nchini Norway ameamka na kukuta meli kubwa ya makontena ikiwa imekwama mbele ya bustani. Alikuwa amelala chumbani kwake, mita chache tu kutoka mahali ambapo meli ilitia nanga. Meli ya hiyo ya mizigo iliyokuwa na bendera ya Cyprus, NCL Salten, ilikuwa na watu 16 na ilikuwa ikisafiri kusini-magharibi kupitia Trondheim Fjord hadi Orkanger ilipoondoka. Hakuna aliyejeruhiwa katika tukio hilo. Polisi wa Norway wanachunguza kilichotokea. - - #bbcswahili #ufukweni #norway #bahari #meli Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw