Meneja mkurugenzi wa shirika la EABL Jane Karuku ahojiwa na kamati ya seneti kuhusu biashara

  • | Citizen TV
    342 views

    Meneja mkurugenzi wa shirika la EABL Jane Karuku amehojiwa na kamati ya seneti kuhusu biashara kuhusiana na madai ya hisa zilizotolewa bila kufuata sheria.