Mercury FC ndio mabingwa wa mchuano wa Nyangati

  • | Citizen TV
    172 views

    Mercury FC ndio mabingwa wa mchuano wa wadi ya Nyangati kaunti ya Kirinyaga baada ya kuwalaza Mutungara mabao matatu kwa moja kwenye fainali.