Mercy Tarus akosa kuheshimu wito wakuwasili mahakamani

  • | TV 47
    28 views

    Shahidi mkuu katika sakata ya ufadhili wa masomo ya elimu ya Finland Mercy Tarus yuko kwenye darubini ya mahakama kwa madai ya kukaidi amri ya mahakama baada ya kushindwa kuheshimu wito wa mahakama uliotolewa jumatatu uliomtaka afike kortini kutoa ushahidi.

    #UpeoWaTV47

    __

    Thank you for watching this video. Kindly subscribe for more content from 'Home of The Untold Stories.'

    *About TV47* 'TV47 is on GOtv (Channel 102), DStv (Channel 268), SIGNET, Gotv, BAMBA and STARTIMES. __ For Breaking News, kindly subscribe by sending ‘NEWS’ to 22047. __

    Connect with us:

    Website: https://www.tv47.digital/ Facebook: https://www.facebook.com/TV47KE Twitter: https://twitter.com/tv47news Instagram: https://www.instagram.com/tv47ke/ TikTok: https://www.tiktok.com/@tv47_ke Telegram: https://t.me/tv47_ke WhatsApp: 0797 047 047 __