Metema: Kuvuka mpaka kutoka Sudan hadi Ethiopia

  • | BBC Swahili
    364 views
    Katika miezi ya hivi karibuni zaidi ya watu 20,000 wamevuka Daraja la Metema linalounganisha Sudan na Ethiopia. Watu zaidi ya 1,000 huendelea kuvuka mpaka huo kila siku. Wakati wengi hupata matumaini mapya wakishavuka hapo, pia wanazungumzia hatari wanazokutana nazo njiani kutoka Sudan. #bbcswahili #sudan #machafuko