Methali ya Siku I Asiyejua maana, haambiwi maana

  • | KBC Video
    7 views

    METHALI YA SIKU

    ASIYEJUA MAANA, HAAMBIWI MAANA

    Maana yake: Mtu asiyejua thamani ya kitu hawezi kuelewa thamani hiyo hata aambiwe mara ngapi. Kujaribu kumwelezea thamani yake ni sawa na kupoteza muda tu

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive