Methali ya Siku I Sindano huwa na uzi isiweze kushona

  • | KBC Video
    10 views

    METHALI YA SIKU:

    Sindano huwa na uzi isiweze kushona

    Maana yake: Mtu hukabiliwa na shida fulani anayoweza kuitatua bila ikamshinda

    Methali hii hutuhimiza tutumie uwezo tulio nao kutatua matatizo mbalimbali maishani

    Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/

    #kbcchannel1 #news #kbclive