Meya katika mstari wa mbele Sierra Leone

  • | BBC Swahili
    409 views
    Meya wa Freetown, Yvonne Aki-Sawyerr, ameshinda sifa za kimataifa kwa kushughulikia matatizo mengi yanayoukabili mji mkuu wa nchi maskini zaidi barani Afrika. Lakini alip[okuwa akipoomba kuchaguliwa tena kwa muhula wa pili, anajikuta yupo katika mgogoro wa kidemokrasia. Makala hii imemfuatilia Aki-Syerr anapogombania kushinda muhula wa pili katika uchaguzi uliokuwa na ushindani mkali zaidi nchini Sierra Leone tangu kumalizika kwa vita vya wenyewe kwa wenyewe. #bbcswahili #AfricaEye #sierraleone Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw