Mfanyabiashara Anne Njeri ahojiwa na kamati ya bunge

  • | Citizen TV
    5,244 views

    Mfanyabiashara Anne Njeri Njoroge aliyedai kupokonywa shehena ya mafuta ya dizeli ya shilingi bilioni 17 amefika mbele ya kamati ya bunge kuhusu kawi kuhojiwa. Njeri anatarajiwa kuieleza kamati hiyo kuhusu umiliki wa mafuta hayo, mahali yalitoka na yakikokuwa yakielekezwa miongoni mwa masuala mengine