- 7,420 viewsDuration: 2:35Mfanyibiashara mmoja hapa Nairobi anakidiria hasara baada ya kufuatwa na wezi alipokuwa ametoka benki kutoa pesa na kuibiwa fedha hizo… Victor Odhiambo anadai majambazi hao walikuwa na silaha na walimfuata hadi hospitalini alikoenda kutafuta matibabu walikomuibia. Kama anavyoarifu Franklin Wallah, picha za CCTV ziliwanasa washukiwa wakimfuata muathiriwa na kuiba pesa kutoka kwa gari lake baada ya kuvunja gari hilo…