Mfanyibiashara aliyewapiga risasi maafisa wawili wa polisi atasalia kwenye korokoro za polisi

  • | KBC Video
    Mfanyibiashara aliyewapiga risasi maafisa wawili wa polisi na mhudumu mmoja katika mgahawa wa Quivers Lounge Jijini Nairobi, atasalia kwenye korokoro za polisi hadi tarehe 5 Augosti ambapo mahakama itaamua iwapo ataachiliwa kwa dhamana. Hakimu mkuu mwandamizi Esther Kimilu alisema mshtakiwa Dickson Njanja Mararo hataachiliwa hadi kubainika kwamba Idara ya upelelezi wa Jinai imewahakikishia mashahidi wote juu ya usalama wao. Mengi ni katika mseto wa habari za kaunti Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1news Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #KBCNews #Kenya