Mfanyibiashara Cleophas Shimanyula asisitiza hana kesi ya kujibu dhidi ya Seneta Khalwale

  • | West TV
    432 views
    Siku moja tu baada ya seneta wa kakamega boni khalwale kufika mahakamani kumtaka mfanyibiashara cleophas shimanyula kumlipa takriban shilingi bilioni 1.5 kwa kumharibia jina yeye na familia yake kwa kuwahusisha na kifo cha aliyekuwa mfanyikazi wake kizito moi amukhune, shimanyula amekana kuwa na hatia kwenye matamshi yake akisema ana haki kama mkenya kutoa lalama zake